Habari za wikiend wana jf wezangu hopefully mpo poa!
Kwa takribani mwezi mzima sasa hbr kubwa ktk vyombo vyetu hbr hapa tanzania ni kuhusu watanzania wanaokamatwa au wanaojihusisha na biashara haramu ya uuzaji wa madawa ya kulevya!Nikiwa kama mtanzania mzalendo wa nchi hii sifurahishwi hata...
Mwandishi wa habari wa shirika la utangazaji la Uingereza BBC alimuliza swali Rais Robert Mugabe wa nchini Zimbabwe baada ya kushinda kwa mara ya sita uchaguz mkuu wa nchini mwake mwezi uliopita,
Mr President dont you think 89 years old would have been a great time to rest and retire?
Mugabe...
BARAKATIL EID WANANAJAMVI!,
Naomba kufahamu kutoka kwenu ktk pitapita zangu Moshi,Arusha,Bagamoyo na huku Zanzibar nlipo sasa nimeona wazungu wanawake wanapenda kuwa na mahusiano na wanaume wakitanzania wenye rasta!
Nataka kujua kwanni maras?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.