Recent content by tenachew

  1. tenachew

    SoC02 Umuhimu wa kuwepo kituo cha sayansi ya anga nchini na jinsi kitakavyochochea maendeleo na mabadiliko ya uchumi wa taifa

    Kura yngu chukua , karibu pia kwangu tuijenge Tanzania SoC 2022 - Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika
  2. tenachew

    SoC02 Nilivyotengeneza helkopta

    Nimekupa kura zote mkuu, karibu ujifunze na kwangu ruksa kunikosoa SoC 2022 - Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika
  3. tenachew

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Kazi nzuri sana mkuu, karibu na kwangu ikikupendeza kura Yako pia kwangu SoC 2022 - Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika
  4. tenachew

    SoC02 Hali ya maisha isikukatishe tamaa kusaka elimu

    Asante sana Kwa andiko hili, karibu pia kwangu SoC 2022 - Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika
  5. tenachew

    SoC02 Jinsi lugha ya Kiswahili itakavyoondoa umasikini Afrika

    Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni kweli Afrika ni masikini? Licha ya bara la Afrika kuwa na utajiri mwingi wa rasilimali na amali...
  6. tenachew

    SoC02 Mapendekezo kwa Serikali yatakayobadili mfumo wa elimu

    Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu yatakayobadiri na kuboresha mfumo wa uendeshaji shughuli zote za elimu Kwa ngazi zote za elimu nchini...
  7. tenachew

    SoC02 Siri kuu saba zilizonifanya kufungua kiwanda baada ya kufukuzwa Chuo

    Siri kuu saba zilizonifanya kuanzisha kiwanda baada ta kufukuzwa chuo. Moja kati ya shughuli za kiuchumi zenye kuleta mageuzi makubwa Kwa uchumi wa nchi yoyote ni kuanzisha viwanda. Kuanzisha na kuendesha viwanda ni rahisi sana kwa mtu binafsi hasa ukipewa Siri yake. Hapa kuna siri kuu saba...
Back
Top Bottom