Wananchi wote wanaona, bunge hili chini ya uongozi wa Ndugai, ni dhaifu, nahakika lingekuwa linaonyeshwa live, lina wabunge wazuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndicho alichosema kama ulivyoandika, ila aliyeandika mada, pamoja na heading ya Ayo TV vimreasilishwa kwa madhumuni hayo ambayo yamekufanya hata wewe umuelewe sivyo,sikiliza video yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, ila naona kama vile wajumbe wanatilia shaka ushauri wako ingawa labda ni mzuri, hii labda inatokana na posts zako za nyuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewakilisha kundi kubwa sana lilioko chama chenu ambalo linaamini kuwa "katiba mpya ni yao sio yetu mbona sisi tunaona mambo yanaenda sawa tu!!" Yaani hii ni privilege na sio right!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.