Recent content by Tembulukoje

  1. T

    Vijana Wa LuMumba Bhanna

    Wanafiki sana hawa watu
  2. T

    Kama yule fisadi papa alionekana anafaa kuwa rais, kuna ubaya huyu kuwa waziri?

    Lissu na Lipumba na watu kibao, naamini wengi ni ukawa (Nimtoe Lipumba ambae yye alionesha uzalendo) wamepinga uteuzi wa Muhongo kuwa waziri wa nishati na madini kwa mara nyingine tena. Lissu huyu huyu na timu yake ndo walituamibisha watz kuwa lowassa ni boooonge la fisadi. Baada ya muda...
  3. T

    Kama yule fisadi papa alionekana anafaa kuwa rais, kuna ubaya huyu kuwa waziri?

    Hebu tuache unafiki, Prof. Muhongo kupewa wizara ya niashati na madini ni mahala pake. Kainyoosha hii secta ya umeme tangu alipoingia. Kama yule mgombea wa UKAWA alionekana anafaa kuwa rais, baada ya yeye pia kujiuzulu miaka miwili tu tangu apewe uwaziri mkuu, kuna ubaya gani Muhongo kupewa...
  4. T

    JPM unatisha, salute tena kwa mara nyingine

    Huyu jamaa JPM ni hatareeeeeeee. Keep on doing my president. Nasubiri tukio lingine, najua ndani ya saa 24 litatokea tu.
  5. T

    JPM unatisha, salute tena kwa mara nyingine

    Kama kuna mtu bado anakupinga, basi ni Mwanga.
  6. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Cc tushaanza kumwamini, wewe subiri mda wako muafaka. JPM sio mgeni hapa tz na utendaji wake unajulikana na kila mtu. Hata we pia unamfaham vema since then.
  7. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Shida kwani ipo wapi? Taarifa ya ikulu kupitia kwa katibu mkuu kiongozi ndo imestate hivyo. Vtanda 300, magodoro 300 na mashuka 600. Mbona mnatafuta kutoa taarifa za kwenu binafsi. Sisi tunamwamini raisi, na taarifa aliyotolewa na katibu mkuu kiongozi ndo sahihi
  8. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    We utakuwa umevurugw. Tena hasa. Na aliyekuvuruga kala karanga mbichi na mihogo mibichi. Ulitaka nchi wapewe wale wapiga deali. Never. Na 2020 JPM atashinda kwa kishindo.
  9. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Agizo limetolewa jana jioni, leo vtanda 300, magodoro 300 na mashuka yake 600 vimenunuliwa. Kesho j2 vinafungwa na j3 JPM ataenda kuvikagua pale Muhimbili. Ahsante sana raisi wangu JPM. Kweli wewe sio mpiga dili. Napata shida kuamini kama ingekuwa hawa wapiga dili wangeweza kuziachia hizo...
  10. T

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Unatokwa na povu sehemu zako zote za mwili zilizowazi. Pole sana. Hapa kazi tuuuuu
  11. T

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Tunataka utatuaji wa kero za wananchi.
  12. T

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Raisi wangu mimi nakuombea sana, I know you gonna make it. You will my presidaaaaa
  13. T

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Una roho ya upinzani, hata afanye lipi jema kamwe hutakubali. Ila rohoni unamkubali sana raisi wako.
Back
Top Bottom