Recent content by tellakona

  1. T

    Bidhaa za ndani, bei rahisi sana

    Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu; Hisense smart TV, inch 43 ina box lake - 350,000/= Friji ndogo - 100,000/= Feni kubwa - 30,000/= Viti vya plastic (3) - 15000/= Meza ya kioo ndogo - 50,000/= Kochi la watu wawili - 80,000/= Meza ya kuwekea jiko, mtungi mkubwa oryx na jiko la plate2...
  2. T

    Bidhaa za ndani kwa bei nafuu

    Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo [Mr uk] = 200,000/= Lenovo laptop = 200,000/= SPECIFICATIONS Screen size 13.3" Resolution 1366 x 768...
  3. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Lete 250000 nikuachie boss
  4. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    1. Lenovo Laptop - 300,000/= 500GB Desktop name: desktop aquges 1 Processor: Intel [R] Celeron [R] N4020 RAM: 4.00GB Device ID: 26E6E507-6F4F-47C8-B9B0-A06EDEBAF9B4 Product ID: 00331-10000-00001-AA669 System type: 64bit operating system, x64 based processor 2. LG home theater -1000W RMS Bei -...
  5. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Kitanda na godoro 5x6 = 250,000 Kabati la nguo = 100,000 Mtungi wa gesi, jiko na Meza yake = 120,000 Fridge ndogo = 150,000 Coffee table = 50,000 Vyote vina risiti, radio ina box lake. Vyote vipo Dar es Salaam mwenye uhitaji apige simu 0693733218
  6. T

    Kupenda kwangu kukaa mwenyewe kunafanya asilimia kubwa ya watu wanaonizunguka waone siwapendi

    Yaani wewe ni mimi kabisa, mie ni wa kike, napenda kukaa mwenyewe, hata nikishinda nyumbani nakaa tu ndani, sio mtu wa kutoka wala kujichanganya na watu, nikikutana na watu ni salamu basi, hata kwenye mijadala huwa sichangii nakuwa mpenzi msikilizaji. Hiyo imefanya watu wengi Waone naringa...
  7. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Pole kaka, ilishauzwa, asante kwa kuonyesha interest, barikiwa.
  8. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Inawezekana, karibu
  9. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    vipo katika hali nzuri sana, havijatumika kwa muda mrefu, vyote vina box zake kabisa.
  10. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    ni used kwa muda mfupi sana, ipo kwenye hali nzuri sana na box lake lipo, karibu sana.
  11. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Nipo gongo la mboto
  12. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Habari wana Jamii Forums. Nauza: 1. Printer Epson L3150 kwa Tshs. 300000. 2. Lamination Machine kwa Tshs. 70000 3. wino wa Epson L3150 full set kwa Tshs. 30000. Mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0612373688, ASANTE.
  13. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Habari wapendwa, Vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu. 1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20,000) 2. Lamination...
  14. T

    INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Habari wapendwa, vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu. 1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000) 2. Lamination...
Back
Top Bottom