wana jamii forum,
ishu inayoniuma mpaka kesho ni ununuzi wa haya magari ya kifahari maarufu V8 . haya magari yanaingiza hasara kubwa sana lakini kwa upana wake watu hawajaelewa au wanaelewa wanafumbia macho.
Ngazi zoote kuwa za taasisi viongozi wake wanatembelea V8ukipiga hesabu gharama zake ni...
kutofautiana falsafa tu. wakati ule magufuli alikemea ufisadi lakini kwa point ambayo waliomzunguka walitumika kumuhujumu, pembeni yake kuna kundi kubwa la upinzani lilikua sawa kupinga lakin kwa malengo binafsi kiasi kwamba kuyumbisha wananchi wasiamini harakati za mwendazake . ndio maana vita...
hujafikilia criticaly, umewaza kwa ku trace background. Ukiuliza imekuwaje hadi akawa Rais, ni ile nyota kukubalika kwa falsafa zake , maono yake ambapo waliompinga wengi walikua working classes ambao si kundi kubwa la wananchi, so kundi kubwa liliweza kuyatambua mazuri yake na ndomana akawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.