Recent content by Teknotee

  1. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Mwili kutoa majimaji (hasa mikononi na miguuni)

    so sad dah 2025
  2. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

    Wakuu tunaombeni ushuhuda Kwa mliofanikiwa
  3. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Vijana wezangu nipeni elimu kijana wenu

    Wakuu, naomba kuuliza: Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea unapokula mfululizo karanga mbichi, mbegu za maboga, muhogo mbichi, na vyakula vinavyosadikika kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanaume, lakini hushiriki kabisa tendo la ndoa kwa muda mrefu, ila unakula tu kujiimarisha na kujiweka sawa?
  4. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    😅😅😅 Yas by Yas
  5. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

    Sorry kiongozi hii palmer Cocoa Butter lotion una apply mpaka usoni?? Haina shida ukitumia usoni?? pia price yake ipoje
  6. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Upo mkoa gani??
  7. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Mbona naskia hakuna usaili majina yatatoka tu directly??
  8. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Yes nandomana Zoezi la uandikishaji linafika mpaka mwakani mwezi wa sita
  9. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Ndivyo walivyoandika kwenye post yao
  10. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Sijafaham kw undani, karibu kumtembelea website ya tume ya uchaguzi huko wameelezea Kila kitu
  11. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Wanafanya Kwa awamu haifanyiki kw pamoja, ndo hapo umeona wameandika awamu ya kwnz itakua na mizunguko 13
  12. Teknotee

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Tukutane mwakani😅😅
Back
Top Bottom