Recent content by Tee Bag

  1. Tee Bag

    Wanaolalamikia Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya tuongee hapa kidogo

    Ole Mushi ni kada, chadema inahusika vipi hapa
  2. Tee Bag

    Wanaolalamikia Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya tuongee hapa kidogo

    Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa..... Na Thadei Ole Mushi 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
  3. Tee Bag

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Umeshindwa hata kutaja wapi umetoa huu uzi, ni ushamba buu, Uzi huu ni wa Malisa J,
  4. Tee Bag

    TBC acheni kumuelekeza Mama Samia njia ya kupita

    Nyie "Tibisii" nisikilizeni niwasaidie. Acheni kumuelekeza Mama Samia njia ya kupita. Hoja zenu kila siku ni "mama Samia avae viatu vya Magufuli, mama Samia apite njia ya Magufuli, mama Samia aendeleze yale aliyoacha Magufuli, mama Samia ajipime kwa viatu vya Magufuli, mama Samia alikua...
  5. Tee Bag

    James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    Ameshauri Majaliwa atumie busara kujiuzulu Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
  6. Tee Bag

    Hotuba ya Rais Kikwete Mwisho wa Mwezi Julai: Amjibu Kagame!

    Ni mtu amefukua uzi tu
  7. Tee Bag

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ingiza Kabak toa jones, hendo apande juu
  8. Tee Bag

    Tofauti ya Malisa GJ na Wizara inayoshughulikia Ustawi wa Jamii

    Alieandika hiyo mada ni kada mtiifu wa CCM, jaribu kumfatilia, na jaribu kumfatilia Malisa
  9. Tee Bag

    Tofauti ya Malisa GJ na Wizara inayoshughulikia Ustawi wa Jamii

    Na Thadei Ole Mushi Picha number Moja ni Gorgui Lamine, huyu jamaa anatokea west Africa na alikuwa Ni Mkimbizi nchini Spain, akiwa anajishughulisha na shughuli zake za uuzaji wa bracelets mtaani aliibuka maarufu gafla baada ya kusaidia kumuokoa mlevu mmoja anayeitwa Alex Caudeli ambaye alikuwa...
  10. Tee Bag

    Uchaguzi 2020 Mzee Sumaye ahoji wapi alipo Mbowe katika kampeni za Lissu

    Yupo tallying centre Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom