Simu mpya toleo la POP 7 imeweka rekodi ya mauzo baada ya kuuzika simu zaidi ya 5000 ndani ya muda wa mwezi mmoja kwanzia ilivyo ingia sokoni. Hii inaonesha jinsi gani mapokezi ya toleo hili la POP 7 yamekuwa ya kishindo kikubwa. Toleo la POP 7 limeundwa kwa ajili ya wapambanaji wote wanao amini...
Nyakati zina badilika na technologia inazidi kukuwa hivyo basi nikuombee uwelee hili boss kwamba tumefanya mabadiliko makubwa sana kwa kwenye matoleo yetu ya sasa.
Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu.
Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji wengi wa simu janja wamekuwa wakiulizia sasa limefika sokoni na linapatikana kwenye maduka yetu nchi...
Tunakushukuru kwa kuwa mwana familia wetu wa TECNO.
Tunaomba uwendelee kusambaza Positive word of mouth tuubadilishe huu mtazamo wa watu maana ukweli ni kwamba tumekuwa tukitoa simu Bora na nzuri kuliko hao wanaodanganya umma kwamba simu zetu sio bora.
Kwa toleo Hili Boss Amini katika ubora uliofanyika apa. Simu hii imeboresha mara 100 zaidi ya POP zilizopita. Hii imekuja kivingine na imeziba mapengo yaliyowai kutokea
Habari Boss!
Toleo hili la POP 7 limekimbizana na techinologia ya kisasa na ubora mkubwa sana kwenye matoleo yote ya POP ndo maana kama umesoma vizuri tumesema POP 7 ndo th best in quality na kila kitu kulipo POP nyingine zilizo pita.Jaribu ladha mpya ya POP 7 uwone
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.