Recent content by tech_master

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na SCAM ya namna hii..!

    Kuna link nimekuwa nikizipata kuwa wadau wananiambia nijiunge.! getpaid4visits.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job Lakini kwa kuiangalia inaonekana ni kama aina ya utapeli fulani hivi, so kuweni macho wadau.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Laptop For sale at 300,000 Tsh Only

    Kaka vipi.? Laptop bado unayo.? Nitakupataje kama nahitani kuiona.?
Back
Top Bottom