Recent content by Tech24

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wow, something great is happening in the world but few are benefiting from it

    Ujumbe mkubwa ulikua Anayewekeza awekeze kwa Risk yake mwenyewe. Hawakukataza wala hawajasema Bitcoin ni Legal Tender Tanzania. Kifupi wako Njiapanda kama zilivyo nchi Nyingine Nyingi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wow, something great is happening in the world but few are benefiting from it

    Asante Mkuu.. ni vyema ukafanya Tafiti zako mwenyewe pia.. Ukatushirikisha jukwaani hapa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wow, something great is happening in the world but few are benefiting from it

    Leo nataka kuwafahamisha Watanzania wenzangu juu ya kitu ambacho wachache ambao wamepata nafasi ya kuelewa ni nini, wananufaika huku wengi wakibaki hawana idea ni nini kinachoendelea. FORBES AFRICA kwenye jarida lao la mwezi September (cover page) wameandika, nitanukuu “BITCOIN, CRYPTOCURRENCY...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Huawei Ascend P6..hela ipo mkononi sasa hivi

    Kwa yeyote mwenye nayo anicheki namba hizi 0652 727063 au 0713 170774
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Samsung galaxy s3 used ORIGINAL

    ipo.. ndo iliyochapa hii msg kwa 450 in good condition.. ni PM for more info.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo yote ya Computer Call 0713170774

    Napatikana Dar es Salaam Kinondoni Antivirus pia ipo Avira kwa Sh 20, 000 (Waranti ya miaka 2) Spare parts za computer na mengineyo kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi PM me.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo yote ya computer call 0713170774

    Napatikana Dar Es Salaam jirani tu na chuo Kikuu Ardhi. Gharama zitategemea na ukubwa wa tatizo. ila kiujumla ni nafuu sana. Asante na Karibuni.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Samsung galaxy SII au SIII fasta

    kwa 200k labda tukupatie techno saaafi kabisa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    shimbony manka.. unapatikana wapi..?? umri uzoefu na mengineyo mbona hujatuambia..??
  10. T

    JamiiForums Tanzania htc kwa bei safi kabsa.

    desire bado ni broad sana.. ni Desire ngapi..??
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jipatie Antivirus (genuine) na huduma za computer repair and maintenance

    pole sana, unapatikana wapi..??
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jipatie Antivirus (genuine) na huduma za computer repair and maintenance

    nipo De mmar... shughuli za siku zinanibana sana
  13. T

    JamiiForums Tanzania Jipatie Antivirus (genuine) na huduma za computer repair and maintenance

    nafkiri ni vizuri tukafahamu maana halisi ya kitu Genuine
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jipatie Antivirus (genuine) na huduma za computer repair and maintenance

    I am at Dar es Salaam nahitaji kuiona pc kujua kama tatizo linasababishwa na nini
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jipatie Antivirus (genuine) na huduma za computer repair and maintenance

    niko dar-kinondoni-makongo-mlalakua-survey Jirani tu na chuo cha Ardhi
Back
Top Bottom