Habari wakuu.
Ni muda sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta mtu wa kunishika mkono niweze kusafir nje ya nchi kutafuta maisha lakini nimekumbana na changamoto ya kutokupata mtu wa kunishika mkono hivyo kwa mtu yeyote anayeishi ughaibuni hasa schengen country naomba msaada wa kunishika mkono hata...
Wadau hapa maeneo yetu kuna mtoto aliokota sindano iliyodondoshwa na hawa ndg zetu wanaookota makopo ya plastiki mtaani, sasa huyo mtoto alivyoiokota akajidunga na yeye mwilini baada ya 5mins akawambia wenzake nipelelekeni nyumbani nikalale naumwa.
Walipomfikisha nyumbani mtoto alionekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.