WanaJF,
Tayari baadhi ya makada tumewasili hapa mkoani Lindi kuja kumpa ushirikiano ndugu yetu Bernard Membe katika azma yake ya kutangaza nia ya kugombea urais. Makada wengi wamefika hapa Lindi, akiwemo mama Salma Kikwete. Na watu wengine mashuhuri wanatarajiwa kuja kuungana pamoja na bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.