Wakuu,
Kuna uzi mmoja ambao uliletwa jana,tarehe 15/01/2015 ukimnadi Kamanda Mbura Chiragwile kuingia katika Harakati za Kumng'oa ndugu Nimrod Mkono katika uchaguzi wa mwaka 2015,Musoma Vijijini.
Wachangiaji wengi katika ule uzi walijikuta wanatoka katika mada kuu na kuanza kumjadili Ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.