Recent content by TBO

  1. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Ni ngumu maana nauza ili nipate hela ya kuongezea ili kununua gari lengine
  2. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    we utakuwa tayari unagari maana mtu mwenye njaa huwa hachagui chakula
  3. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Sio mbaya kwa ulivyo andika maana unaleta ucheshi humu
  4. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Bei kuwa nafuu haina maana kama gari ni kimeo na ndio maana nimesema mtu aje na fundi wake kuk\gua mimi nauza ili niongezee hela ninunue gari lengine kama huna gari na unalipuuza hili inakuwa imekula kwako
  5. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    kwa nyie wakubwa nendeni kwenye harrier hili ni kwaajili ya wanao anza kumiliki usafiri binafsi maana kila kitu kina mwanzo
  6. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    ni mashaka yako tu , gari haina shida waweza kuja na fundi wako
  7. TBO

    Unaanzaje kunusa vikwapa kwenye mwendokasi na daladala? pata NISSAN MARCH kwa 1,6 m gari iko poa

    Gari haina shida yeyote ni kuweka mafuta na kuyeya .jipatie ndinga la kwako uepukane na daladala kwa bei ya kutupa 1.6m tena kwa uhakika uje na fundi wako0789630368
  8. TBO

    Fahamu kuhusu Kennedy family iliyoanza kwa baraka ikaishia kwa mikasa

    Ni familia ya mtu aliyekuwa mfanyabiashara na mwanasiasa mashuhuri nchini marekani kwenye miaka 1920s Mr Joseph Sr Kennedy yenye watoto 9 , Joseph Kennedy ktk kipindi cha ujana wake alifanya jitihada sana ili aweze kupata nafasi kubwa ya uongozi wa urais nchini marekani. Lakini jitihada zake...
  9. TBO

    Kwa mwenye uhitaji wa gari mwenye kuanzia mil 3 kuendelea timiza ndoto yako sasa ya kumiliki gari

    Bei chee magari ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa magari ya kuanzia MIL 3 kuendelea yenye hali nzuri Epuka kalaa za mwendokasi na daladala kama kukanyagana,kunusa vikwapa, wanawake kubambiwa Miliki gari lako sasa fanya mawasiliano na namba 0789630368 utumiwe picha za magari watsup
Back
Top Bottom