Recent content by Tbag2410

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

    Mngejua mpo wengi duniani kuliko wanaume huu ujinga mngeupotezea
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuomba maombi ufanikiwe, upate mke/mme ni upuuzi!

    Sasa kama unamuamini Mungu ni shetani gani amekushika akili yako unashindwa kumuamini tena kama bado yupo pamoja nasi na anaendelea kutenda miujiza na mambo mengi mazuri katika maisha yetu na kwa imani kile mtu anachokiomba au kuombewa akichanganya na bidii zake anafanikiwa vyema kuliko akifanya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuomba maombi ufanikiwe, upate mke/mme ni upuuzi!

    Kumbe wewe unaiamini brain yako kuliko mungu hujui hata hiyo pumzi unayopumua ni kwa ajili ya neema za mungu tu na sio kwamba wewe ni mjanja sanaaa hapana,hilo likichwa lako ndani yake kuna huo uchafu wako unaouita brain mjinga kabisa wewe hio brain hata hao vichaa wanao si ajabu ata wewe ni...
Back
Top Bottom