Hahahaha wameniudhi Sana bro, Soma utaona shida ilipoanzia, wanajaribu kukata matawi sababu eti kukata mizizi ni kazi, kiukweli hawataweza kuondoa tatizo lenyewe hasa.
Sjui wanataka tuwe Kama vijana wa Ethiopia Kila siku wanakimbia nchi yao,,, mtu anafanya kazi ndani ya nchi yake ww badala ya...
Salaam wanabodi,
Moja kwa moja kwenye hoja.
Tatizo tulilonalo ni ajira hii ni fact, watafiti wanasema kufikia 2050 Africa itahitaji ajira mpya zaidi ya milioni 500 (source frani hivi)
Hakuna serikali duniani iliomaliza tatzo la ajira kwa kuwaajiri wananchi wake wote (if I'm wrong, correct me)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.