Recent content by Tawfiq 77

  1. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Kwenye swala la kuungwa mkono na waislam fanya tafiti tofauttisha uislam iman na viongozi wake uislam ni dini inayozungumza haki
  2. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna matamko huyategemei toka kwa Jaji wa Rufaa, anatoa haki Mahakamani! 37 millions wamejiandikisha kweli?

    Hapo ndipo unapoona hoja ya reforms zinapohitajika na kanuni za uchaguzi kuboreshwa madhumuni ya kuongeza number ni kuongeza idadi ya kura na ili jambo ni rahisi mno kulidhibiti kikanuni ni kuhakikisha wapiga kura wote kwenye vituo wanapigq kula kwa number na kabla ya kura kuhesabiwa mawakala...
  3. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele

    Alichozungumza Mpina leo ndio uhalisia wa majombo mengi kwa sasa mfano Kigamboni ukivuka tu. Lipo Bango la mama atukudai tutakulipa October 25 sasa unajiuliza hii Kigamboni kuna mradi upi serikali imetekeleza Kigamboni barabara za lami unaxihesabu hakuna maji ya bomba jimbo zima ni maji ya...
  4. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa ni chachu ya maendeleo kwa watanzania sio mizigo

    TUSAIDIE TAIFA LETU NCHI HAIWEZI KUENDESHWA KWA PROPAGANDA WATANZANIA SIO WAJINGA
  5. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa ni chachu ya maendeleo kwa watanzania sio mizigo

    Ni kweli km taifa tunahitaji mijadala mipana ya nyinsi mikopo inavyosaidia taifa ama inavyosabanisha mzigo mkubwa wa madeni kwa wananchi na pia tumuogope mwenyezimungu kwa kutoa takwimu za kweli na zenye uhalisia ili kulisaddia taifa mfano mleta mada unaposema serikali imemunua boti 280 za...
  6. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA kwa wananchi ni kubwa mno zaidi ya viongozi wanavyofahamu

    Baada ya hii mikutano ya No reforms No election inayoendelea nchi nzima nilichogundua uungwaji mkono kwa CHADEMA ni mkubwa mno zaidi ya uongozi unavyolichukulia.. Kwa maoni yangu kama chama kitajiwekea mikakati madhubuti ya ukweli na uwazi hiki chama kina uwezo wa kujiendesha bila pesa ya...
  7. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

    Tuna viongozi wa dini ambao wamechagua kuwa machawa wa wanasiasa wanaijua haki ba batwil ndani ya nafsi zao lkn kutokana na tamaa ya maisha ya dunia wamechagua kuwa machawa hakuna anayenyanyua mdomo kukemea maovu hakuna muislam hata mmoja anayefurahishwa na hali ya utekqji na watu kupotea labda...
  8. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Mashekhe wote kwa umoja wenu: Ijumaa ijayo khutba iwe ni October TUNATIKI ✅

    Ushaurii bora ni wao pia wattoke kukemea hv vitendo vya utakaje huo ndio uislam wa kweli tusichague kuwa wanafiki kwa mgongo wa dini uislam ni inayoubiri haki ktk mafundisho yake
  9. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Ngoja tuone kati ya Mungu wa ukristo na Mungu wa uislam ni Mungu yupi mwenye nguvu.

    Mungu ni mmoja mungu
  10. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Unajua pesa ya Tanzania inatengenezwa wapi?

    Hayo ni makalatasi yaliyopewa nguvu na wakoloni pesa za kweli ni dhahabu na fedha huo ndio mpango wa mungu haya mengine na utapeli tu embu tuangalia hapa mfano dollar ndani yake kuna kitu gani cha dhamani si karatassi tu km makaratasi mengine ni bora ingekuwa zinaongezewa samani hata na madini basi
  11. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

    Nchi hii tutaendelea kuwa masikini daima milele watu huwa awaamini ktk mafanikio ni lazima utafutiwe sababu umefanikiwaje hizi ndio tabia za kimasikini
  12. Tawfiq 77

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

    Hii kesi ni ya aibu sana sielewi kwa nn mpaka wakati huu bado ipo mahakani.. Jinsi inavyoendelea ndio jeshi la police linazidi kuvuka nguo itafika wakati hata raia watapoteza utii kwa hili jeshi kinachoonekana ni kikundi cha uwarifu km vikundi vingine vya uwalifu ...shame
Back
Top Bottom