Recent content by Tatu

  1. Tatu

    Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

    Nashukuru kwa ushauri ndugu. Nitafanya hivyo.
  2. Tatu

    Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

    Wao hawahitaji business licence?
  3. Tatu

    Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

    Shida yangu kubwa ambayo nakumbana nayo ni ukosefu wa payment gateway kwa individual developers. Nina project kama tatu hivi zote zinahitaji a way to collect money locally lakini ili uweze kutumia local gayeway za Tigo, AirTel and the rest, lazima uwe na registered business. Naweza kutumia...
  4. Tatu

    Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Hongera ndugu kwa uthubutu. Mwanzo mzuri. Cha maana ni kuchukua criticism zote na kuzifanyia kazi. Hiyo itaboresha kazi yako na huduma pia. All the best!
  5. Tatu

    Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?

    Hongera sana ndugu kwa kazi nzuri.
  6. Tatu

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    Marketing is always a challenge especially if you don't have a budget for it. Kwa sasa I am hoping organic growth by the word of mouth and ASO.
  7. Tatu

    Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

    Wazo lako ni broad au unalenga niche fulani? Kwa sasa competition ni kubwa sana inabidi uwe na ushawishi mkubwa sana kwa watumiaji ili watumie na yako pia. Lakini kama unaweza ku-refine wazo lako ukalenga niche au region fulani, unaweza kupata watumiaji wa kutosha. Mfano, binafsi nime publish...
  8. Tatu

    Bakita iandae utaratibu wa kutoa taarifa kwa Wananchi walau mara moja kwa mwaka.

    Nimekuwa nawaza hili jambo kwa muda mrefu sana. Nimeona kama Oxford wamekuwa wanarasimisha maneno mapya na pia wana keep trend yale yanayoshika kasi kila mwaka. Kwa kweli kizazi kipya kinaenda kasi sana na pia mabadiliko ya technology yanabadilika kwa haraka zaidi. Tusipokuwa waangalifu, hata...
  9. Tatu

    Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Binafsi sijui unaitwaje na hii ni changamoto kubwa sana katika lugha ya Kiswahili. Misamiati ni michache sana hasa kwenye maneno ya kiufundi, sayansi na teknolojia ukilinganisha na lugha ya Kingereza. Sababu hii ilinifanya niandike app ya Android ambayo inaitwa KuKi, (Kuza Kiswahili). Iko live...
  10. Tatu

    Mtaala wa Mobile App Development na java Programming Language

    Kwa wanafunzi ambao wako kwenye Android app development training msikate tamaa. There's a light at the end of the tunnel. Kwa kuwatia moyo, unaweza uka-search HangOut kwenye Google play utaona app inayohusu events management, developed here in Bongo by ZaidiSoft. Kwa hiyo pull your socks up...
  11. Tatu

    Teknolojia iwe nyundo yetu

    Hongera ndugu. Kila mtu akichangia kwa uwezo wake na nafasi yake, tutafika mbali. Attitude iwe, "Hata sisi tunaweza." Hakuna haja ya kutegemea mataifa mengine kwa changamoto zilizo ndani ya uwezo wetu.
  12. Tatu

    Teknolojia iwe nyundo yetu

    Jamii yetu ina changamoto nyingi sana ambazo tunaweza kuzifanyia kazi na kuzipatia ufumbuzi kwa kutumia technology. Tumeshatoka kwenye zama za kutumia nyundo (figuratively) katika kila kitu. Tukianza kuorodhesha changamoto ambazo jamii yetu inazo, nafikiri zitakuwa ni nyingi sana na wala siku...
  13. Tatu

    Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili

    Update: Sasa maneno yote haya mnaweza kuyaweka kwenye app specific kwa maneno ya Kingereza yasiyokuwa na tafsiri kamili ya Kiswahili ili watu wengi waweze kuchangia kwa urahisi zaidi. Application inapatikana katika link hapa chini...
  14. Tatu

    Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  15. Tatu

    Naomba neno moja tu la Kingereza ambalo halina tafsiri rasmi ya Kiswahili

    Progress Update.... Nashukuru kwa wote waliochangia kwa namna moja au nyingine. Nilichojifunza kutoka kwa wote ni kwamba kuna uhitaji wa forum maalum kwa ajili ya kushirikisha jamii katika kukuza lugha yetu ya Kiswahili. Kwa maana hiyo, muda si mrefu nitawajulisha wote release ya forum hiyo...
Back
Top Bottom