Habari!nilikuwa naomba msaada wa kufahamishwa vyuo vinavyotoa elimu ya udereva vilivyo chini ya veta yaani vilivyosajiliwa....asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa na asante kwakunielekeza...mwanzoni nilipata D ya geo,D ya kisw na C ya eng....mwaka jana nina D ya geo na D ya kisw...please
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh una maneno makali sana ni jambo la kunielekeza tu nin natakiwa kufanya ili muelewe na kunipa ushauri...mimi ni muhuni ni swala la kutokuelewa tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni binti nilifanya mtihani mwaka juzi nikapata D2 na c1....mwaka Jana nikafanya tens nimepata D2 ila masomo yamejirudia yaleyale je naweza kujiunga na kozi ya marketing pale NIT...tafadharr
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni msaada...nilifanya mtihani mwaka 2016 nikapata c1na D2 ..mwaka jana nikarisit nikapata D2 je ninaweza kupata nafasi ya diploma chuo cha veta ...je ni kozi gani zuri nishaurini jamani ..tafadharini sana nisaidienii
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni ushauri nilifanya mtihani 2016 nikapata c1 na D2 ....nikarisit kwaka jana nimepata D2...nilikuwa hahitaji kwenda veta je ninaweza kupata diploma ya course gani nzuri...tafadharii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nahitaji maioni na mtanzamo ni kweli kwakuwa ajira zimekuwa ngumu hivyo haina haja ya kusoma badala yake tufanye biadhara au ujasiliamali...??
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari!mimi nilikuwa naomba msaada wa wapi naweza kijifunza kuoka mikate na maandazi maana nilikuwa napen
da kuja kumiliki bakery yangu...please
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.