Recent content by tata mura

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Mahusiano si lazima ulale na mtu kwani yanaweza kuwa ya undugu ama urafiki wa karibu. Siku ile Said Kubenea alipokuwa anasema wamevuliwa chupi mbona hawakutoka nje?
  2. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupoteza Majimbo mengi october 2015

    Kuna vyama vya upinzani vilitarajia kushinda kwa kishindo lakini imekuwa kinyume.
  3. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupoteza Majimbo mengi october 2015

    Jumbo la Lema (Arusha mjini), Nyamagana - Mwanza (Jimbo hili historia yake haliongozwi na Mbunge mmoja kwa mihula miwili mfululizo), Ilemela - Kwanza na hats kwa Mbowe ajipange.
  4. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kupoteza Majimbo mengi october 2015

    Kwa Sera hizi za mgongo wa Ukawa za kujiaminisha kuwa ushindi utakuwa mwepesi. Hii ni kujidanganya tujifunze yaliyokea Uingereza.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bungeni kwa sasa hakuna upinzani

    Namaanisha hakuna mwenye convincing power hadi sasa.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Bungeni kwa sasa hakuna upinzani

    Tangu Mh. Zito atoke Bungeni, wachangiaji wa upande wa upinzani hawana hoja. Lisu na Mbowe wamesusa kwa aibu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    Kumbe kila MTU ni mgonjwa hapa Duniani, yaani kuulizwa ile umeipataje akaanguka puuuu! je angeambiwa tra wanapiga kambi kwenye biashara yake si angekuwa ........... mbele ya haki?
  8. T

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Alimaanisha kuwa '' utawala wa Farao si kitu kwa Mungu''. Na maandiko yanasema mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia. Maana yake '' Ukitendwa kwa ubaya usijibu kwa ubaya''
  9. T

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Wote wanamakosa watuache tuamue wenyewe. Hapa si uchaguzi na wala sera hazihitajiki cha muhimu tuisome katiba pendekezwa kisha tufanye maamuzi sahihi ama hapana au ndiyo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Hatupasu kuchaguliwa maamuzi na mtu yeyote au Taasisi yoyote. Watuache tuamue wenyewe.
  11. T

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Kama Kiongozi wa Dini alipaswa atuhamasishe tuisome Katiba iliyopendekezwa na kuilewa kisha tufanye maamuzi sahihi bila kutushinikiza. Kwani ameamua kuonyesha mapenzi ya Ki-siasa na kutupa Dini pembeni.Kama Yesu angekuwa na Mapenzi ya aina hii basi...................................... Haya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Niliyoyasema ni kweli tupu, sema tu sisi Waumini wa Ki-Katoliki tunaamini kuwa wa mwisho kuhukumu Nafsi au Roho na matendo ya mtu ni mungu tu. Usiwe mvivu fuatalia yote niliyoelezea hapo juu kwa kujiaminisha zaidi.
  13. T

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Kwa kuwa Askofu Seveline Niwemugizi ameamua kujiingiza kwenye Siasa sasa twende kazi. Niwemugizi hana usafi wowote wa kumfanya awe msemaji wa Waumini wa Ki-Katoliki Tanzania kwa sababu zifuatazo: 1. Ametumia mabavu kuhamisha Makao Makuu ya Jimbo kutoka Rulenge kwenda Ngara, bila sababu za...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Vijana waliomaliza mafunzo JKT, kuandamana kwenda Ikulu kupeleka kilio cha ajira

    Kama ni kweli kama channel ten walivyo tangazo kuwa, eti vijana wanaojiita Vijana waliopitia mafunzo ya Ki-jeshi kupitia JKT wanataka kuandamana kwenda Ikulu kudai ajira. Ki-sheria za Ki-Jeshi ni kosa la jinai kwa askali kusaliti Jeshi kwa njia yeyote ile, iwe ya Ki-siasa ama ya Ki-maslahi na...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Au ndo Kambi aliyoisema Lema alipokuwa Bungeni imeanza kazi yake na kutetewa na Yericko ili isishughulikiwe?
Back
Top Bottom