Mimi sidhani kama mtu akisema unapofanya mapenzi style fulani hua ni nzuri au ukikutana ni ki2 ya aina fulani nitamu bali utamu utapatikana pale tu utakaporizika na kile ulicho nacho lazima kiwe kitamu tu kwako maana ndicho unacho na umerizika nacho so kingine hutojaribu na atakifurahia hicho...
Cha msingi sisi vijana yatupasa kufanya kazi ya aina yoyote yenye kukidhi mahitaji yetu ya kila siku tuache kutegea kitu au kazi fulani tuliyojiaminisha kua ndiyo kazi ambayo inafaa kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.