Kama haya ndo mawazo ya mtu mzima na pengine anaiongoza familia na huku akijua kuwa taifa limekosa hata umeme wa uhakika,maji Safi na salama,dawa,ajira,mfumko wa bei n.k halafu anaomba watoto wa viongozi walipwe ni upumbavu wa kiwango.Hao viongozi wao Wanawajibu gani kwa familia zao? mleta Uzi...
Vita ya Israel na palestina ataiamua Mungu mwenyewe.mwanadamu una masharti mawili tu, kuutakia Yerusalemu amani na kuubariki.hutaki kaa kimya.vinginevyo wewe ni adui wa Mungu.Mwanzo 12:3 na Zaburi 122:6.
Lucas unawateteaje wanachama wa Chadema huku ukiwaacha wamasai wanakimbizwa kwenye ardhi yao? Si useme tu kuwa una agenda binafsi na double standard ya kiwango Cha chama chenu?
Moja ya changamoto kubwa inayoturudisha nyuma watanzania ni pale mtu mzima anapoamka au kulala akiwazia kushinda uchaguzi uchaguzi hata kwa majira yasiyohusiana.
Yote tisa cha msingi kuna mtu anajua fika kuwa vyesi vya mchongo mwisho wake ni aibu mahakamani.Hapa ni kudhalilishana na kupotezeana muda tu.Hakuna cha uhaini Wala nini.
Mdogo mdogo udini unazidi kukomaa.Mbinu za chama kubwa ku divaidi eni rulu ili watu wazidi kupiga.Naihurumia Tanzania ya kesho.We are uncontrollably going astray.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.