Recent content by Tarishi

  1. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Tatizo ni kujiona nyie wasomi, werevu na wajuaji kuliko wengine wote. Hivi unadhani wasio wakatoliki hawajui kusoma katikati ya mstari. Mwongo anza na Kitima anayedanyanya kashambuliwa TEC Kurasini, tena ndani. How? Mgeni akiingia mle huwa anafungwa kamba mguuni. Sio physically lakini watu wote...
  2. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Yaleyaleee mkibanwa mnaleta matusi. twende hoja kwa hoja acha ushamba huo
  3. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Nikutajie jina la sinema hii?? Huna hata haya
  4. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Akurupuke tu amnyonge bila sababu? Subiri mahakama ndio itaamua sio nyinyi humu mitandaoni Mnauana wenyewe mnunue huruma kwa nguvu mnasingizia dola *Nyumbu mfuata upepo huna maajabu kumsikiliza taahira *Ulinzi wote mle Kurasini alipigwa ama kafanya usanii aonekane na ngeu? Hoja zako...
  5. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Sasa matusi ya nini kama mna hoja za kweli? Au unadhani wengine hawajui kutusi mtu kama wewe ambaye kwa lugha yako inaonekana mshamba wa bara na nyumbu mfuata mkumbo. ukileta matusi utatukanwa wewe hadi ukimbie. kuwa mstaarabu
  6. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Wewe pia umesahau kusema hao mmewateka nyie wenyewe kwa sababu gani?
  7. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    NAFURAHI KUKUAMBIA KWAMBA MESSAGE SENT AND DELIVERED!
  8. Tarishi

    Barua ya Wazi kwa Baba Mtakatifu Papa Leo XIV (Kwa Kiswahili)

    Baba Mtakatifu, Ninaandika kwa dharura kutoka Tanzania, nchi ambayo historia yake imesimama kama mfano wa kuvutia wa mshikamano wa kidini. Zaidi ya miongo sita, Wakristo na Waislamu wameishi kama ndugu, wakiwa si tu watu wa imani bali Watanzania. Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
  9. Tarishi

    Open Letter to His Holiness Pope Leo XIV at the VATICAN

    It is not by accident that the old philosophers gave us the phrase "ignorantia elenchi", the fallacy of irrelevant conclusion. It is the mistake of answering a question that was never asked, of raising a banner that does not address the true battlefield. And in Tanzania today, if ever there was...
  10. Tarishi

    Open Letter to His Holiness Pope Leo XIV at the VATICAN

    Hii ni nakala ya hiyo iliyopelekwa hapo unapopasema
  11. Tarishi

    Open Letter to His Holiness Pope Leo XIV at the VATICAN

    Kwa kuwa wewe sio mhusika na hufanyi kazi Vatican sioni la kukujibu. So, lisilokuhusu acha lipite ndugu
  12. Tarishi

    Open Letter to His Holiness Pope Leo XIV at the VATICAN

    Open Letter to His Holiness Pope Leo XIV at the VATICAN Wewe ni mtumishi wa Vatican au ni hisia zako za Kiswwhili. Maana nyie mnajua kiiiiilaaa kitu
  13. Tarishi

    Open Letter to His Holiness Pope Leo XIV at the VATICAN

    Your Holiness, I write with urgency from Tanzania, a land whose history has long stood as a shining example of interfaith harmony. For more than six decades, Christians and Muslims have lived as brothers and sisters, bound not by creed alone but by a shared identity as Tanzanians. It was the...
  14. Tarishi

    Humphrey Polepole: "Hatuwezi kuwa nchi inaendeshwa kama idara ya 'Fire'

    Nampenda sana Rais Paul Kagame, hacheki na nyani kama huyu, ndio maana shamba lake la mahindi liko salama na anaendeleza nchi fasta kuliko sie wote Afrika Mashariki na Kati. Hauhitaji kuwa na PhD kujua ni nini mnafiki kama huyu PK angemfanya nini libaki kuwa fundisho kwa wengine dizaini yake...
  15. Tarishi

    Mkurugenzi wa Michuzi Media Group Apokea Kitambulisho cha Uandishi kutoka JAB

    Nyie wa USAFISHAJI MKUU, kama kweli mnahitaji hayo mageuzi, acheni woga, unafiki na matusi, mjitokeze hadharani kama wenzenu wa Kenya na kuweka hoja mezani ama barabarani na sio nyuma ye keyboard na jina feki. Haisaidii kitu kuishia mtandaoni. Jitokezeni kama kweli wanaume
Back
Top Bottom