Recent content by Tariq gabana

  1. Tariq gabana

    Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

    Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
  2. Tariq gabana

    Naomba kujuzwa chuo kinachotoa kozi ya Auto-Electric na sio ya Engineering

    Umeme wa magari ukiacha chuo cha NIT, DIT na VETA chuo gani apa Dar kinatoa kozi Io naombe mnisaidie wakuu
  3. Tariq gabana

    Kozi ipi naweza soma na ina faida mbeleni kwa ngazi ya cheti?

    Saw Sawa kaka sa umeme wa magari chuo gani na unahitaju sifa gn
  4. Tariq gabana

    Kwa matokea haya, mwanangu akasome kozi gani atakayopata ajira?

    Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri? Matokeo yake yako hivi: Math: F History: D Civics: D Kiswahili: C English: C Bio: D Geography Eti, akasomee nini apate ajira?
  5. Tariq gabana

    Chuo kipi kizuri kwa kozi ya Umeme wa magari kilichopo Dar?

    Jamani naomba kuulizia chuo gani Dar es salaam kizuri Kwa kozi ya umeme wa magari🙏🙏
Back
Top Bottom