Recent content by Tarimofundiumeme

  1. Tarimofundiumeme

    Pampu za Solar kwa kilimo cha uhakika

    Habari,namba nimeeka apo ili unicheki kuna details nitazihitji ili nijue pampu ipi inakufaa then nikupe bei
  2. Tarimofundiumeme

    Pampu za Solar kwa kilimo cha uhakika

    Namba 0747591578 .
  3. Tarimofundiumeme

    Pampu za Solar kwa kilimo cha uhakika

    Solar water pump, zinapatikana kwa bei ya punguzo. Ili kujua bei na pampu inayokufaa tupe maelezo yafuatayo -Aina ya chanzo cha maji. -umbali toka chanzo hadi maji yapohitajika kufika. -mwiunuko upo au haupo, -urefu wa kisima . -na matumiz ya kilimo au matumiz ya nyumbani. Kumbuka pampu zetu...
  4. Tarimofundiumeme

    Pendezesha mazingira ya nje kwa kufunga Taa Hizi za Solar

    Ndio Boss.kila kitu apoapo.wewe ni kufunga tu ukutani.
  5. Tarimofundiumeme

    Pendezesha mazingira ya nje kwa kufunga Taa Hizi za Solar

    Taa za Solar za kufunga ukutani, Tsh 35000. zinawaka automatic jioni na kuzima asubuhi.unachagua mwanga unaopenda. tupo kariakoo dsm. 0747591578.call/whatsapp
  6. Tarimofundiumeme

    Karibu Tukufanyie Wiring ya umeme kwema Jengo lako kwa gharama nafuu sana.Tuna leseni na tupo kwenye mfumo wa nikonekti TANESCO

    FUNDI UMEME.(Wiring za umeme) -Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana. -Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani. Tuna...
  7. Tarimofundiumeme

    Tunauza Water pumps za Solar

    Ahsante sana, karibu boss
  8. Tarimofundiumeme

    Tunauza Water pumps za Solar

    Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa. Bei. Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000. 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh 2,300,000 2hp ya surface lita 30000 kwa saa Tsh 3,000,000. zipo pia za mita hadi 150. 0747591578...
  9. Tarimofundiumeme

    Zijue hatua za uwekaji wiring ya umeme katika jengo lako kadri ujenzi unavyoendelea

    Haina ndio.,iyo inatosha unaeza nunua separate ikiwa vifaa ni vingi. ila ukiona una vifaa vingi vya kuhitaj mcbs za amps kubwa unatakiwa ueke board ya 3phase. kuepusha overload
  10. Tarimofundiumeme

    Zijue hatua za uwekaji wiring ya umeme katika jengo lako kadri ujenzi unavyoendelea

    Mkuu Hapo ni mtihani kumdhibiti fundi mwenye tabia ya udokozi,ata umlinde vipi akiamua kuchukua atachukua tu.,ikiwa unapata wasiwasi na fundi wako basi jaribu kuwa site wakati wa ufanyaji wiring. Ahsante.
Back
Top Bottom