Moyo wangu umeumia kianzia mwanzo hadi mwisho wa uzi huu, mimi nina mtoto wa kike wa age hiyo though niliachana na mama yake lakini naelewa jinsi gani unaumia. Nilicho jifunza hapa ni jambo moja tu inawezekana uliolewa kama sehemu ya adhabu kwa mzazi mwenzake na hasira zimeisha anagundua kuwa...
Nilikuwa natoka Bariadi kwenda kahama, kufika Shinyanga akapanda dem mmoja hivi akakaa kando yangu. Ndani ya masaa 2 tukashuka Kahama moja kwa moja Guest. Nikamtafuna kisha akspanda gari la kwenda kijijini kwao huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.