Rais Samia kuwa makini na utoto wa Mongela na Chongolo Arusha Mjini
Wanabodi leo acha niwape habari Arusha namna ambavyo Chongolo na Mongela wanavyoteseka kama nilivyotumiwana anaejiita mtumishi mzalendo wa Jiji la Arusha.
Tatizo kubwa la Arusha Mjini ni Dr. John Pima ambaye yuko mahakamani...
Wanabodi habari ya muda huu?
Nimekua nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea katika Jiji la Arusha kwakweli hakina Afya sana kwa siasa za awamu ya sita. Ikimbukwe kihistoria jimbo hili ni la upinzani na CCM imetumia nguvu kubwa sana kulirudisha, lakini kinachoendelea ni kama kuchezea shilingi...
aada ya CCM kupora uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 na kuongoza halmashauri, wananchi wa Jiji la Arusha tunasikitika kuona mbunge na madiwani wake wamesahau jukumu la kuwaletea wananchi maendeleo na kujikita katika upigaji wa madili ya kifisadi ili kushibisha matumbo yao bila kujali maumivu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.