hivi Yas hawana huduma ya Pre paid kwenye hz bandle yan nachotaka kusema kama mtu mwez flan hana hela au hajiskii kulipa inawezekan au ni lazma kila mwez ulipie.?
nimeshangaa kuona had leo hamna sehem ya ku edit kwenu upande wa (Android) nadhan wanao tumia Iphone ni mwaka sasa au inakarbia mwaka unaweza edit txt sasa sijui kama hiyo haikuwepo kwenye android
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu
mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo shop bora SME kulko post paid inayo limbukiza maden Tigo wameandika kupata huduma 10k
ukiona una download mda mrefu especially kwenye torrent hiyo movie ni ya mda sana kutokana na hvo seeders wanakua wachache nichek nikutumie file telegram
kumbe nyie mlichukua na mkalipa 110k mm nilidhan kilikuwepo kikapotea maana jamaa aliandika hv na quote (Kulikua na watu wanalalamika baada ya muda kifurushi cha 70K kinaondoka kwa Airtel,)
Staki za vodacom hzo ni post paid kama lain za Tigo yan usipo lipa deni unalikuta pale pale na usipo lipa lina ongezeka sheria kibao + eneo nalokaa Airtel inafanya kaz vzr Tigo lain zake za router zinasoma kwenye simu vzr kabisa tatzo bei ya router ndo tatzo na wana limit ya GB kwa siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.