Mungu na siasa wapi na wapi? hata hivyo precess ya kumtuma yesu kama mtoto kuzaliwa, kukua, kufa na kufufuka ni ndefu sana. mbona kwa uwezo wa mungu kurudisha mamlaka lilikuwa ni suala la sekunde tu.
mwanaume anapotengena na mwanamke wake, m wanaume onaondoka man alone sasa nyie wenzetu mnaachwa na mzigo wa watoto(mara nyingi hiko hivyo) sasa auoni kunatofauti hapo
baadhi ya mbinu za kuzuia nyoka kuingia ndani ya nyumba yako na maeneo yanayozunguka nyumba yako:
Funga Mapengo: Funga mianya, nyufa, na mashimo kwenye msingi wa nyumba yako, kuta, milango, na madirisha.
Ondoa Vyanzo vya Chakula: Hakikisha nyumba yako haina panya, wadudu, na wanyama wadogo...
Mimea Ambayo Hupunguza Nyoka
Kuna mimea kadhaa ambayo inaaminika kufukuza nyoka kutokana na harufu yao, muundo, au sifa nyingine. Ingawa hakuna mmea unaoweza kuhakikisha mazingira yasiyo na nyoka kabisa, kupanda mimea hii karibu na nyumba yako kunaweza kusaidia kupunguza uwezekano wa nyoka...
mwanamke kazi unayo kwahizo imagination zako! kwenye ndoa haufiki mbali usipokuwa makini, fanya majukumu yako mfunanie mtu kwa bahati mbaya usifukuzie kufania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.