Kuupenda Urais ni tofauti na kuutaka Urais
Kuupenda Urais ni hali ya kiongozi kutaka kuheshimiwa,kuwa kwenye misafara, kusifiwa,ving'ora,umaarufu, na mambo kama hayo
Kuutaka urais ni hali ya kiongozi kutaka kusukuma jambo au mambo furani katika nchi ili malengo yatimie yaani ni mfanikishani...