Mac book Air 2011 HDD 64gb,core i5 processor 1.6 2gb ram inauzwa 650000/= kwa mawasiliano 0628993916.
Tatizo charger inaloose. Long lasting battery. Hela inatakiwa cash kuna shida.
Anatafutwa mwalimu mahiri wa somo la stadi za kazi, mwenye uzoefu wa kufundisha somo hilo, mwenye upendo na watoto.
Shule ni ya mchepuo wa kiingereza, ipo Mbezi beach, Dar es salaam. Anatakiwa haraka iwezekanavyo. Mshahara mzuri.Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0766407153.
Anatafitwa mzuri wa somo la stadi za kazi, mwenye upendo na uzoefu wa kufundisha watoto.
kama unaona una sifa hizo please Nipigie kwenye no hii 0717035681, 0766407153 mwisho tarehe 31/12/2015
karibu bahati yako

Huyo Ndugai hana impact yoyote ateendeleza uccm kwenye mambo ya taifa na bunge si sehemu ya mipasho.
Mtu kilaza ndio atakwenda kuleta ushindani wa vyama tunahitaji majadiliano ya hoja ili kuliondoa taiga letu hapa tulipo.
So hiyo kauli ya ndugai akiwa spika UKAWA watanyooka ni fikra ya...

ANATAFUTWA MWALIMU WA SOMO LA VOCATIONAL SKILLS. Awe na sifa zifuatazo
1. Awe na cheti cha uwalimu/ ikiwezekana diploma
2. Awe na uwezo wa kuzungumza kiingereza kiufasaha
3.Awe na uwezo wa kuchora michoro midogo midogo
4. Awe anaishi Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano piga namba: 0766407153
Anatakiwa mwalimu wa somo la stadium za kazi .
Mwenye ujuzi wa kuchora, kufinyanga, na vinginevyo vinavyohusiana na sanaa.
Deadline tar 25/7/2015
Mawasiliano: 0766407153
Anatafutwa mwalimu wa stadi za kazi mwenye uwezo wa kuchora, kufinyanga, kuongea kiingereza, mwenye kiu na kazi.
Mwenye uhitaji apige namba hii 0766407153.
Deadline tarehe 25/7/2015
Tuache unafiki udicteta ni aina ya uongozi. Hitler asingekuwa dictator ujeruman isingefika hapo. So tanzania tunahitaji uongoz ulio serious. Watu wanaiba pesa hakuna hatua. Tuache ushabiki kipofu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.