Recent content by Tanzania Kwanza 2015

  1. T

    Majambazi yavamia kituo na kuua polisi wawili Ikwiriri Rufiji

    Mkuu msg mzuri.... mfalme kwao ni muhim kuliko maisha yao... na hata wako tayar kumfanya lolote mtz ili mfalme awasifie....
  2. T

    Hii ni aibu kubwa, watanzania tutafika?

    Angeeleweka vizuri kama angekuwa more specific pesa inapotelea wapi mpaka wapate 2m tu... otherwise hatuwez mwelewa antaka tutoke na nini kwenye uzi wake.... ni kama uandike uzi kuhusu shule ya azania kukusanya pesa kidogo wakati tunajua shule haifanyi biashara sawa na mwananyamala hospital...
  3. T

    Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Ccm wata angamiza hili taifa, wanatafuta support kwa ajili ya chaguzi zijazo toka kwa waislam, ndo karata yao ya mwisho waliyo bakiza... wameona anguko lao li karibu sana hivo watugawe kwa misingi ya dini....
  4. T

    Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

    Mfumo wa ccm hata kiongoz mzuri anakuwa fisadi tu usidanganye watu.... chagueni UKAWA...
  5. T

    UDOM Police Brutality: Haki za binadamu, wanasheria na wanasiasa mko wapi?

    Polis Tz wanafanya chochote na hawez hata kuulizwa kwa nini walifanya hivo. ... ni bora polis wa ukoloni kuliko hawa wetu.... Yana mwisho kwani Mungu wetu hatarusu haya yatendeke daima.... jamaa kavunjwa mguu wakati hana siraha..... inauma sana.....
  6. T

    Hoseah on ESCROW Scandal: No one would be spared

    Tehe tehe tehe.... walio beba lumbesa pale stanbic wako wapi? Ina maana kama Ruge nae angezigawa cash leo tusingekuwa na kesi yeyote na Pccb wangekuwa wamelala. ... only in Tz..
  7. T

    Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Jumanne Tarehe 13 Januari 2015 Unguja

    Naona ujanja ujanja wa serikalini ukiendelezwa kwenye chama.... hamna jipya.... ccm badilikeni, Raisi asiwe mwenyekiti wa chama.... mnaua chama chenu .... uozo wa serikalini unahamia kwenye chama.... shauri yenu ni ushauri tu.....
  8. T

    Kwa mara nyingine Waislam kutumika tena kama mtaji wa CCM 2015

    mkuu makanisani hukuti harakati kama hizi kwenye video bwana... Prof. Lipumba akiwa Msikitini na Siasa za Tanzania: http://youtu.be/ujwfFUUAD70
  9. T

    Fahamu kwanini Lowassa na Pinda hawatapendekezwa na CCM 2015

    Wasira hata jimboni kwake hakubaliki, haki bin haki Bulaya anachukua jimbo... sababu kubwa ni ubinafsi, majivuno na chuki... kumbuka alivo wakana kina wasira watoto wa ndugu yake kuwa si wake kwa maneno makali kabisa wakati yeye kuna kipindi aliisha kiwa nccr.... of all of the people, wasira...
Back
Top Bottom