uchawi upo jamani kuna mzee nilimkopa pesa mwezi sasa ila cjapata pesa yake kanipigia cm kunikumbushia deni lake muda c mrefu nikamdanganya nimefiwa na baba yangu ile nakata cm tu nasikia sauti dirishani ya huyu mzee.NENDA MSIBANI BABA YAKO KAFA KWELI Saivi ndo nimekaa tu hapa simu zinapigwa ila...
tunachimba visima virefu na vifupi Tanzania
pia tunafanya tafiti (surveying)
Dar es salaa mita moja tunachaji 50,000
mikoa iliyobaki tunachaji 75,000 kwa mita
MOSHI NA KILIMANJARO BEI MAELEWANO
WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA
0766438286
0686733292
0714453589
Sent using Jamii Forums...
huu ni wizi wakati hii pesa ni ya mafuta na maji tu ndo mana mnaibiwa mtu anawezaje kuchimba kisima chenye urefu wa mita 150 kwa milioni 3.5 ! mtaibiwa mkuu wakati hii pesa ni ya mafuta na maji tu ya kufanyia rotary
Sent using Jamii Forums mobile app
narudia tena kuna vipimo vya maji scana hii inafanywa kabla ya kuanza kuchimba kisima na mteja ndo analipia gharama hizi kama eneo ni tata basi scana itatoa majibu mapema kama eneo ni kavu pasipo poteza gharama maisha ya sasa sio ya zamani mkuu kila kitu kubahatisha sasa hivi hakuna hii na...
Msaada wadau,tunatafuta wateja wanaohitaji kuchimbiwa visima vya maji kwa kutumia mashine za kisasa zenye uwezo wa kuchimba mpaka mita 600
Atakayeleta mteja ana asilimia zake
Mawasiliano yetu
0762484200 - Voda
0627431955
Ofisi zetu zipo:
Dar posta mpya
Dodoma mjini barabara ya kumi
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.