Recent content by tanken

  1. tanken

    Nina cash nicheki...

    bluetooth,nafikiri hili ni hip hop
  2. tanken

    Chekeleeni ya Magufuli, yatakujieni ya Hitler

    Barbarosa,pamoja na mazuri Hitler akifanya kama vile Iddi Amin wa Uganda, mabaya hayasauliki. Mpaka Leo,huko ujerumani, na Uganda,bado kuna watu wanawaunga mkono kama wewe.
  3. tanken

    CHADEMA wawe makini: Kuna chuki binafsi, Fitna kwa mama Anatropia Segerea

    Tatizo la vyama Africa, WANApokua wameshindwa katika UCHAGUZI fitina vya kitoto huibuka.watu wanasahau wanatakiwa kujenga CHAMA na kurekebisha mapungufu. Wanangukia mtego ya CHAMA tawala na wananza kusaliti.
  4. tanken

    2020 CUF wanayo haki ya kumsimamisha mgombea Urais UKAWA, nitampigia kura

    Yaani wewe huna wema ndani yako WALA huna wazo lakujenga UKAWA. Kwa sasa UKAWA una mambo muhimu ya kutekeleza na sio nani atakua rai miaka hio,tuombe uzima.Toa hoja,JINSI ya kukijenga UKAWA na sio mambo ya vyeo.mpaka UKAWA ufike hapo imekigarimu watu sana. Nategemea uanze mjadala JINSI YA...
  5. tanken

    Urafiki wa Dr Magufuli na Raila Odinga sasa uwe katika facebook.

    Nahisi wewe ni mbaguzi wa hali ya JUU sana.si Ajabu kama ikitokea una wafanya kazi au watu walioko chini yako unawanyanyasa sana.maneno yako yameandikwa kwa kukurupuka PASIPO kufikiri. Unandika usichojua. Uliza na upate taarifa sahihi ndo uje uandike tena kuhusu hawa waheshimiwa.
  6. tanken

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Mbona mnajitesa bure? Nabii wa Mungu amekuja nchini, tumemwona akikutana na viongozi wa NCHI wakiwa katika hali nzuri. Nabii huyu kwa wanaomjua,hapendi sifa au kusifiwa. Magufuli na LOWASA WOTE wanafahamu. Haikua lazima atambulishwe katika umati au kamera kummulika.kwa wanaompenda Nabii TB...
  7. tanken

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Yaani wewe watia huruma sana. Huna heshima kuongea usikojua. Nahisi hauko sawa.
  8. tanken

    Tathmini ya uchaguzi wa Urais katika majiji (Arusha, Dar, Mbeya, Mwanza)

    Eeeeeee heeee!! Kweliiiii dahhh aiii seeee hiii kaliiii....
  9. tanken

    Walichopaswa kufanya viongozi wa UKAWA mpaka sasa

    Watu wengi hawaelewi yaliotokea. UKAWA, wanatakiwa watumie vyombo vya habari KUELIMISHA wapiga kura kwa KUTUMIA data,matokeo waliokusanya,wayachapishe ili watu wayaone waelewe. Hii itatusaidie katika chaguzi zijazo. Mhe. Rais wa TANZANIA amepatikana,nafahamu kua yeye anaweza kuwa hafahamu...
  10. tanken

    TB Joshua: Utabiri na nguvu ya Mwanadamu katika kuzuia kusudio la Mungu

    Wewe ni pepo au ajenti wa shetani.? Pole pole sana. Kumtaja TB Joshua kwa kejeli hivi,huko salama.
  11. tanken

    TB Joshua: Utabiri na nguvu ya Mwanadamu katika kuzuia kusudio la Mungu

    INAPASWA ukatubu mbele ya Mwenyezi Mungu. Huna mamlaka ya kuleta Jina la mtumishi wa Mungu katika UJINGA huu hapa TANZANIA. Mungu hadhihakiwi.
  12. tanken

    Ninadai haki YANGU ya kumchagua Rais wa Muungano JMT

    Wakati m/kitu wa ZEC anafuta matokeo ya UCHAGUZI Zanzibar,anamnyima mzanzibari haki yake ya kumchagua Rais wa JMT. Je,mpiga KURA anaweza kupata haki mahakamani?
Back
Top Bottom