Ni kweli hakujui Ukara huyu jamaa, lakini unaweza ukawa unakujua ila usiweze kujua kinachoendelea huko, Mimi sijaona kosa la huyu mwandishi, tena nampongeza kwa kutambua kazi njema, iliyofanywa kwa ufanisi na weledi iliyopelekea kuokolewa kwa watu 41, japo kazi iliyofanywa na wananchi ni kubwa...
Hata mimi nampongeza Mh Rais kwa kuitambua hii mamlaka mpya ya mapato Tz, nafikiri atakuwa amezungumza nao juu ya uwezekano wa kuweka vikosi vingine kwenye maji, hii ni pamoja na kamera(touch) na wanaojaza abilia kupita idadi inayotakiwa. Pole watanzania kwa msiba na mengi yatupatayo.
Bora wangeonesha ukakamavu kama ule walionesha wakati wa kuzuia ukuta, walituonesha uwezo mkubwa walionao ktk kulinda usalama na maisha ya watanzania, kumbe kuokoa maisha yetu wakati wa majanga hawawezi. Ombi kwao, wajenge haraka daraja la wami wasije kusingizia giza siku maafa yakitufika.
Tena ni aibu kubwa, yaani unasitisha shughuli za uokozi kwa sababu ya giza!! Hebu tukumbuke changamoto walizokutana nazo askali wetu wakati wa vita na Idd Amin, kama viongozi wetu wangekuwa na akili ndogo kama ya hiyo ya kusingizia giza Idd angeingia hadi vyumbani mwetu, ndugu zangu, Tanzania ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.