Habari wanajamii,,,
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja....
Kitchen party nyingi ni kugaiana vyombo,kunakua na kungwi na Mc labda sana sana ni taarabu music na chakula...
Mdada anafundishwa mambo ya chumbani na mengine yakigusiwa ni machache...
Sasa mimi naona wanawake wenzangu tuboreshe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.