Recent content by tanganyikasupermaket

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

    Huu ndiyo mtihani mkubwa pale simba.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

    Wewe nakuamini 100 percent... Sasa viongozi wa simba wako serious... Unyonge sasa baasi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

    Viongozi wa simba hua hawako serious, so kama ni kweli ni jambo jema.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

    Sidhani kama ni kweli.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na wanafunzi wamebeba fimbo na wameagizwa na mwalimu wao.

    Ndugu mzazi hata kama wawapenda hao wanafunzi ila hukutumia busara shekh wangu! Nenda shuleni, katoe maoni kwa mkuu wa shule! baada ya hapo kaa kwenye nafasi yako! Walimu si wehu ndugu zangu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

    Haya yanayozungumzwa humu hayajathibitishwa Hivyo yanawezakua ni kweli ama kinyume chake.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Yanga tunasimama na Mabululu na Ahly Tripoli kiujumla

    Mashuti ya mbali yeyote anaweza kubahatisha.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yanga tunasimama na Mabululu na Ahly Tripoli kiujumla

    Jamaa anafunga goli za kawaida sana Sijaona goli la uwezo binafsi zaidi ya mashuti ya mbali
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    Mulipaswa kuwatoa sundowns msimu jana Maana mlikua na form nzuri kuliko wao Gues what? uzoefu ukawaondoa.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    tulieni vyumbani mwenu sisi ni wazoefu wa haya mashindano kuliko ninyi.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    hizi kauli ni kama mnatuonea huruma sio?
Back
Top Bottom