Recent content by tanganyika_og

  1. T

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima Ameanza Kuwa Mnyenyekevu Na Heshima na Kutambua Kuwa Rais Na Taasisi Ya Urais Haichezewi Wala Huwezi Kushindana nayo ama kuiletea Dharau.

    Mzee wako angetumia condom au kumwaga chini kuliko kuzaa hasara kama wewe. Mambo wliyotaka kumuambia kabla ya uchaguzi ndiyo hayohayo wamemuambia now. Unyenyekevu umetoka wapi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wameumia Sana Mioyo yao Kuona TEC Wameonana na kufanya Mazungumzo na Rais Samia. Wababubujikwa Machozi ya Huzuni

    Hivi hauna uzi unaowaponda TEC? Tukifukunyua mafaili nahisi kuna sehemu ulishawasema vibaya sana hawa TEC. Hii inaonyesha jinsi CCM mlivyo machizi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateka Anga La Siasa Za Tanzania. Kila Sehemu ni Yeye Tu Mitandaoni. CHADEMA na Lissu Wao Hakuna Mwemye Habari Nao

    CCM wote kwa sasa mna changamoto ya afya ya akili
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Mvomero hana uchungu wa mali na maisha ya wananchi

    Hawa wakuu wa wilaye wengi wao ni waeee walegevu....
  5. T

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Zanzibar, leo Agosti 11, 2026

    Naona anajipeleka maeneo mengi badala ya kuchukua tahadhari
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mafwele yuko wapi?

    Labda nchi ikikombolewa, vinginevyo kwa utawala huu wa mashetni ataweza kuwa balozi, mkuu wa mkoa au ulaji mwingine
  7. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Mpaka akipost Mange Kimambi au Maria Sarungi ndiyo utawaona wanakimbizana kutoa maelezo.
  8. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Au wahanga wa 'kukaza buti' ndiyo wameanza kuonekana?
  9. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Mpaka leo hakuna dalili za kupewa pension. ila mishahara aaah, noano wamejilipa wenyewe
  10. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Tatizo la hawa wazee ni kudumazwa na mfumo kwa miaka mingi. Yaani hawako organized kabisa ni kama wana mtindio kidogo. ukiona wanachoandika kwenye group lao ni lugha fulani ya kinyonge sana. Kesho ilitakiwa wale wote ambao wako fit, break ya kwanza ilitakiwa iwe hazina. ila hii kitu akipost...
  11. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Imagine unalitumikia taifa miaka yote hiyo halafu unakuwa treated kama hivi. au wanataka hawa wazee wafe? Nchi ngumu sana hii
  12. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Tuwapambanie hawa wazee....hali ni mbaya sana.
  13. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina. Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

    Hapo RAM ni ndogo sana kama ya kwenye computer za mwanzo, 16KB
Back
Top Bottom