Recent content by Tanganyika Leo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

    Mpendwa Tanganyika ni miongo sita na mwaka mmoja sasa tangu ujipatie uhuru wako kutoka kwa wakoloni wa magharibi ambao waliyumbisha maisha yako na kukupiga danadana kama mpira. Hao sio wengine bali ni Ujerumani walioanza bada ya mkutano wa Berlin na baadaye kwa ulafi wao wa kugombani kile...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Muungano

    Ziko faida za Muungano, maandiko yajayo nitazielezea.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Muungano

    Nitahitaji msaada wenu wadau.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Muungano

    Zipo faida, nitazielezea kwenye maandiko yangu huko mbele.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Muungano

    Mara kadhaa nimeenda Visiwani Zanzibar na nafahamu umuhimu wa Muungano, hoja yangu ni nyimbo za Taifa. Ule ya Zanzibar na Tanganyika pia.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Muungano

    Mfano leo Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 wameimba nyimbo zao za Taifa japo wapo kwenye muungano wa 'United Kingdom🇬🇧'. Mapendekezo yangu hapa nyumbani Tanzania 🇹🇿 tufanye hivo pia kwa Tanganyika na Zanzibar, hii itaonesha uhalisia na chimbuko la kila mmoja chini ya kivuli cha Muungano...
  7. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake

    Asante sana Deogratias_01
  8. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake

    Sawa sawa wacha nipate maarifa pia kupitia makala yako.
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake

    Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake Na Tanganyika Leo. Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza ni kwanini muungano wetu sio wa serikali moja yenye mamlaka kamili kama ilivyo kwa nchi na serikali nyingine duniani zilizoamua kuungana na kukasimisha nguvu na mamlaka yake kwa serikali moja...
Back
Top Bottom