Recent content by TANESCO

  1. TANESCO

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    Habari, ndugu mteja. Asante kwa kutufikishia taarifa hii. Tunaomba tuipokee kwa ajili ya ufuatiliaji na hatua zaidi. Asante. ^FL
  2. TANESCO

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    Habari, ndugu mteja. Pole sana kwa changamoto unayopitia. Tafadhali tutumie taarifa kamili za eneo lako, ikiwemo mtaa/kijiji, kata, wilaya na mkoa, ili tuweze kufanya ufuatiliaji na kukusaidia zaidi. Asante. ^FL
  3. TANESCO

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    Habari, ndugu mteja. Kama tulivyofafanua awali, muda wa siku 30 hadi 90 umewekwa kiutaratibu kwa kuzingatia mambo mbalimbali yanayohusika katika utoaji wa huduma. Mteja anaweza kupata huduma mapema zaidi, hata ndani ya wiki, kutegemeana na mazingira ya eneo husika. Hata hivyo, muda unaweza...
  4. TANESCO

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    Habari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi. Tafadhali fahamu kuwa kuunganishiwa huduma ya umeme hufuata utaratibu unaozingatia mambo mbalimbali, ikiwemo idadi ya waombaji, upatikanaji wa vifaa, eneo husika, gharama na masuala mengine. Hivyo, wateja hupewa muda maalum wa utekelezaji...
  5. TANESCO

    JamiiForums Tanzania Wahuni wasiofahamu maana ya ujana wameanzisha mpango wa kuchoma Trasformer za umeme

    Ndugu mteja mteja, Asante kwa taarifa hiyo, kama ulivyoeleza huduma ya umeme ni moja ya huduma muhimu majumbani,kwenye biashara hata hospitalini. Hivyo ni jukumu la kila mmoja kuendelea kutunza miundombinu hiyo kwa huduma endelevu. Asante. ^HN
  6. TANESCO

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    Habari, ndugu mteja. Kwa utaratibu wa kuunganishiwa huduma ya umeme, muda wa utekelezaji hutegemea umbali uliobainishwa kupitia tathmini ya eneo. Kwa kawaida, umbali wa hadi mita 30 huunganishiwa ndani ya siku 30, hadi mita 60 ndani ya siku 60, na umbali unaozidi mita 60 unaweza kuchukua hadi...
  7. TANESCO

    JamiiForums Tanzania Kuzimwa kwa Umeme na Intaneti, Askari Kumwaga Barabarani Nchi Nzima Siku ya Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu?

    Habari Ndugu Mteja, Asante kwa maoni yako. TANESCO ni taasisi yenye jukumu la kuzalisha, kusafirisha na kusambaza umeme nchini. Masuala mengine yaliyo nje ya wajibu huo hayapo ndani ya mamlaka na majukumu ya Shirika. Tunapenda kukuhakikishia kuwa TANESCO inaendelea kutekeleza wajibu wake wa...
  8. TANESCO

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    Habari, ndugu mteja. Kama unapata changamoto katika hii, tafadhali toa taaria kupitia link hii na hatua stahiki zitachukuliwa. whistleblower. Asante. ^CM
  9. TANESCO

    JamiiForums Tanzania TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

    Habari, ndugu mteja. Tumepokea ujumbe wako wa shukrani kubwa na ni jambo linalofanyiwa kazi. Asante. ^CM
  10. TANESCO

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    Habari, Ndugu Mteja, na asante kwa kuwasiliana nasi. Tafadhali fahamu kuwa baada ya kukamilisha malipo kupitia Control Number, kuna kipindi maalum cha kusubiri wakati taratibu za kiutendaji za kuunganishiwa huduma ya umeme zikiendelea. Kwa mujibu wa maelezo uliyotupatia, bado upo ndani ya muda...
  11. TANESCO

    JamiiForums Tanzania TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

    Habari, ndugu mteja. Tumepokea ujumbe wako kwa shukrani kubwa. Asante.^PK
  12. TANESCO

    JamiiForums Tanzania TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

    Habari, ndugu mteja. Ruzuku ni watumiaji wa vijijini wanalipia unit moja ya umeme tzs 100 badala ya 292 na ni kwa wanaotumia unit si zaidi ya 75 kwa mwezi. Asante. ^HN
  13. TANESCO

    JamiiForums Tanzania TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

    Habari, ndugu mdau wetu, Tunashukuru kwa ujumbe wako na kwa upande wetu tunaomba tuipokee kama maoni kwaajili ya kuboresha huduma zetu. Asante. ^GK
  14. TANESCO

    JamiiForums Tanzania TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

    Habari, ndugu mteja. Kama tulivyosema kuwa suala a bei lipo kisheria na husimamiwa na ewura wakishirikiana na wadau mbali mbali. Kwahiyo muda ukifika wa kutoa taarifa, umma itajulishwa. Ila ujumbe wako, ndugu mteja, amini tumeipokea kama maoni katika mchakato wa kuboresha huduma zetu...
  15. TANESCO

    JamiiForums Tanzania TANESCO yamtafuta mtoto aliyeonekana akisoma kwa taa ya jirani ili kumsaidia

    Habari, ndugu mteja. Tunashukuru kwa ujumbe wako na tunaomba tuipoke kama taarifa ya kuifanyia kazi katika kuboresha huduma zetu. Asante. ^GK
Back
Top Bottom