Kila mtu anahaki ya kuzungumza na kusema maoi yake na mawazo yake, ijapokuwa serikali nyingi za Africa hazipendi kusikiza maoni ya raia wengi. Rais wetu pia anatabia zilezile. Jambo la msingi kulijua kwanza kabla ya kulaumu, tizama tabia za Wasukuma wa Mwanza, kisha tazama tabia za watu wa fupi...
Kuoa au Kuolewa ni jambo la Kheri na hakuna ubaya juu yake, jambo gumu ni kupata mtu sahihi tu, haya maswala ya ukandamizaji si sawa na si haki, mtoa mada anajaribu kuzunguka mbuyu swala wanaume kukandamiza wanawake kwa namna ya kutumia mwamvuli wa uharibifu wa maadili kwa akina dada wa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.