Recent content by Tandika kitanda

  1. T

    Dr. Slaa ailipua Ikulu

    Mkuu huo umakini wa mr president uko wapi? Chini ya uongoz wake nchi imeshuhudia tembo wakipungua kwa kasi ya ajabu na kutisha, kiwango cha elimu kimeshuka, deni la taifa limepaa, umaskini na ufukara unazd, afya duni, tembo na twiga wamepakiwa kwenye ndege na kusafirishwa, kinyume cha sheria...
  2. T

    Dr. Slaa ailipua Ikulu

    Hizo ulizoandika hapo juu ni hoja za kitoto na nna Mashaka na umri wako, kama sio below18yrs, Basi utakuwa unatumika kutetea serikali ya mr dhaifu. Watu kama ww ni janga la taifa.
  3. T

    Waliochota Stanbic hawa: Mke wa kigogo Ikulu atajwa

    Jamaa mapicha picha balaa, hasomeki kabisa.
Back
Top Bottom