Recent content by TANCHI BZINESS

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sababu za UKAWA kutokufungua Kampeni kama ilivyotarajiwa

    chizi utizama mvuto wa picha lakini mtu timamu huja na mvuto wa hoja.....sisi zetu hoja nyie upepo..poleni....ACT wazalendo tumaini la leo na kesho @ najikubali
  2. T

    JamiiForums Tanzania Sababu za UKAWA kutokufungua Kampeni kama ilivyotarajiwa

    wewe unajiharishia psiiii
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sababu za UKAWA kutokufungua Kampeni kama ilivyotarajiwa

    muongo mkubwa wewe mtoa mada nikutumie picha ya lowassa alivyokimbizwa hospitalini au ndio umejisikia kudanganya ebu tusiwe waongo hivyo bwana.....ACT wazalendo tumaini la leo na kesho......... Najikubali
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CHADEMA Ludewa wachoma kadi na kuhamia ACT-Wazalendo

    unajua wanatapatapa ludewa wanachama wanapita mia tano mujue hilo na kama munabisha njooni muone na kuokota jivu la kadi zenu....munacho mwaka huuu ACT wazalendo inatosha tumaini la leo na kesho.. Najikubali
  5. T

    JamiiForums Tanzania Said Nkumba abadili gia angani. Soon kutangaza kurudisha kadi ya CHADEMA, kurejea CCM

    ukawa walidhani kila mgeni anaekuja mwenyeji anapona sasa kazi munayo..na kwa taarifa nyingine za huzuni newala chadema na cuf wote wamerudisha fomu haya ukawa iko wapi.......hakuna jipya ZAIDI ya ACT -wazalendo.... tumaini la leo na kesho ..... Najikubali
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Nanyamba kupitia CUF ashindwa kurudisha fomu, CCM wapita bila kupingwa

    na mtatapatapa nyie kama kuku ACT wazalendo munayoiyona sasa ni ujinga iko kimaendeleo na kupambana na ufisadi na fomu zimerudi zote.........
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    usijidanganya kichafu si chama ni watu ndio wachafu kama ni mfumo kwanini magufuli na viongozi wengine wengi hawana sifa mbovu kama lowasa ebu sema kweli bwana lowasa ndio mchafu na sio ccm
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowasa kamtaja Jk?

    Wenyewe mulisema muna ushahidi leo sio fisadi hivi munafikiri watanzania ni wasahaulifu kama mulivyo nyinyo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya ulaghai wa CHADEMA kwa wananchi?

    Mimi nazani kuweni makini tuuu mutaelewa chadema hata kikishika nchi baadae tutasema marakumi iendeleee ccm na hii leo mutakataa lakini mutaamini fanyeni mistake mpeni kura lowasa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Hivi chadema nao ni wapinzani
Back
Top Bottom