Unadhani una mbio sana?
Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia, unaweza kuanza kuheshimu umbali salama zaidi na kukumbuka kwamba si salama kutoka nje ya gari bila...
Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea hali ya eneo hilo na hatua zinazochukuliwa kudhibiti na kuzima moto huo.
Akizungumza baada...
Na. Jacob Kasiri - Zanzibar
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeendelea kung’ara katika ulingo wa sekta ya utalii Duniani baada ya kushinda tuzo sita za World Travel Awards (WTA) 2026, ushindi uliotangazwa Agosti 28, 2026 katika hafla maalumu iliyofanyika usiku ndani ya Hotel ya...
Na. Philipo Hassan - Dodoma
Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa, Agosti 31, 2026 amekielekeza Kitengo cha Mahusiano ya Jamii kuongeza wigo wa utoaji wa elimu ya uhifadhi kwa wananchi hususan jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa ili kuwawezesha...
Karibu utembelee Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika Viwanja vya Nanenane Njiro, jijini Arusha yanapofanyika maonesho ya 32ya Kilimo maarufu kama NaneNane yakiwa na Kauli mbiu isemayo "Tambua Soko; Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050"
Ndani ya banda letu utapata elimu ya Uhifadhi...
Tunaendelea kuboresha miundombinu inayotumiwa na wageni ili kuhakikisha tunatengeneza kumbukumbu nzuri kwa watalii pamoja na kuwafanya warudi tena Tanzania.
Ni kweli kwamba nyoka hawana masikio ya nje (external ears) wala tundu la sikio linaloonekana kama wanyama wengi. Hata hivyo, wana mfumo wa kusikia unaojumuisha sikio la ndani (inner ear) pamoja na mfupa maalumu unaoitwa columella auris unaosaidia kupokea na kusafirisha mitetemo. Nyoka hutambua...
Kwa mujibu wa Sayansi, Nyoka hawana miguu kwa sababu walibadilika kimaumbile (evolution) kwa mamilioni ya miaka. Vizazi vya Mababu zao wa kale walikuwa na miguu, lakini kadiri walivyozoea kuishi kwa kutambaa , kujipenyeza kwenye mashimo, nyasi na miamba inaaminika kuwa miguu ilianza ikapungua na...
Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (KINAPA) leo Julai 16, 2026 imefanya mapokezi na kutoa pongezi kwa raia kutoka nchini marekani (daktari mstaafu) Dkt. Art Ulene kwa kutambua mchango wake katika kutangaza utalii na uhifadhi wa Mlima Kilimanjaro mara baada ya kuvunja na kuandika rekodi mpya ya mtu...
Ndiyo, wapo nyoka wenye vichwa viwili japo ni nadra sana kuwaona au ni kwa mara chache sana huzalia hivyo. Hali hiyo huitwa "dicephaly" ambapo kiintete kinapokua mapacha wanaofanana hawajitengenishi vizuri na kupelekea nyoka kuzaliwa na vichwa viwili ambapo kila kichwa na ubongo wake.
Hizo ni imani za kale ambazo watu walikuwa wanazitumia ili kuwafanya watu wasiwaue hao wanyama.. mfano kuna misitu ilikuwa unakatazwa kuuingia kuwa ukiingia miti inatoa damu...
Yote hayo ni myths za zamani zilizotumia na mababu zetu kuhifadhi na kulinda maliasili kabla ya uhifadhi wa kisasa wa...
Twiga na Nyoka ni miongoni mwa wanyama ambao mara nyingi hawasikiki wakitoa sauti kama Simba au Tembo... lakini hilo halimaanishi hawawasiliani! 🤫
Je, wanawasilianaje? 🤔 fuatilia hadi mwisho ugundue siri za mawasiliano yao na maana ya mlio wa "hiss" wa Nyoka, pamoja na ishara nyingine ambazo...
Na. Calvin Katera - Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametoa maagizo sita kwa Kamishna wa Uhifadhi TANAPA Massana Mwishawa leo Julai 09, 2026, jijini Arusha alipokuwa akiongoza zoezi la uapisho kwa aliyekuwa Naibu Kamishna wa Uhifadhi baada ya kuteuliwa na Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.