Recent content by Tan1

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta binti wa kuishi naye

    Nina miaka 35 Sasa, mfanyabiashara, mkazi wa kibaha pwani, mkristo, mrefu kiasi, maji ya kunde,,graduate,,nina mtoto mmoja wa kiume, uzito 67kg Sifa ya binti/mwanamke naye mtaka, mrefu kiasi, rangi yoyote, kabila lolote ,awe mkristo, awe na kazi au biashara, awe na positive altitudes muda wote...
  2. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Secondary! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za matibabu ya saratani ya matiti

    Bure! Bure?? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko Simiyu Bariadi nataka kuja Moro, Dsm au Pwani, ulitaka nipm Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za matibabu ya saratani ya matiti

    Madakari na wataalamu wangu naomba kufamishwa gharama za matibabu kama ifuatavyo:- 1. Gharama ya kipimo cha saratani ya matiti? 2. Gharama ya Dose ya saratani ya matiti? 3. Gharama ya upasuaji/operation ya saratani ya matiti? Natanguliza shukrani!
Back
Top Bottom