Recent content by Tambukareli

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Asante kwa appreciation mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

    Katika maisha mwanadamu lazima upitie stage tatu KUZALIWA, KUISHI NA KUFA. Usisahu hilo mkuu maana sisi wote ni marehemu watarajiwa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Tuna wafahamu na mipango yao ya kumhujumu Rais tumeshainyaka
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Kuna ajenda ya siri nyuma ya haya
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Asante, tayari nimefanyia marekebisho
  6. T

    JamiiForums Tanzania Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

    Huu upumbavu wa kumlinganisha magufuri na Mh. Samia ndio ninaoukataa https://www.jamiiforums.com/threads/kumlinganisha-rais-samia-suluhu-na-hayati-rais-magufuli-ni-tabia-ya-hovyo-na-haikubaliki.1853916/
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Ujumbe uwafikie na wachukue hatua.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Unacho kisema ni sahihi kabisa mkuu na wengi wanaomfanyia ulinganisho huo ni wana ccm wenzetu sijui lengo lao ni nini?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kumlinganisha Rais Samia Suluhu na Hayati Rais Magufuli ni tabia ya hovyo na haikubaliki

    Kumeibuka na tabia fulani ya kumshindanisha Mheshimiwa Samia na hayati Magufuli kwenye kila jambo na hatua anazochukua. Mfano, kwenye hafla ya kupokea ripoti ya CAG mheshimiwa aliagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Bandari, baada ya hatua hiyo kuliibuka na wachambuzi uchwara wakaanza...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona limempaisha Rais Magufuli kisiasa

    Limepaisha kwenye duru mbali mbali za kitaifa na mataifa. Kama unakumbuka yeye ndiye alikuwa wa kwanza kupinga Lockdown baadaye ikaja kuonekana kujifungia(lockdown) kwa nchi za afrika ni kuumiza wananchi Akaja kwenye chanjo akasema si vyema kupokea chanjo na kuzitumia kabla ya kuzifanyia...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Ahahaha umepanic brother wewe unapata nini unapo mchukia magufuri?
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Hapo alikuwa akiwatania watani zake wazaramo
  13. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Tundu lissu ni mwenyekiti wa CCM? Usipotoshe lengo bwana sheikh kama nyie wenyewe mmeshindwa kumtetea basi hafai
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Lissu mbele ya Rais magufuri ni mwepesi mno nikisema mwepesi namaanisha mwepesi kweli kweli kwahiyo hakuna anayemwogopa bwana sheikh
Back
Top Bottom