Uchaguzi 2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,307
2,000
Yanga; Hii timu ya Simba kama inataka ushindi dhidi yetu sidhani kama inastahili kumpanga Meddie Kagere pale mbele. Kwanza huwa hajui kufunga, na uwezo wa kupiga Mpira vichwa hana kabisa. Yaani itakuwa hasara kubwa kumuweka hata benchi la akiba.

Simba; Pelekeni ujinga wenu huko, ebo!
Yanga tatakuwa vizuri kuliko Simba msimu ujao, Yule strikerni hatari kwa mpinzani wetu
 

mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,424
2,000
Kuna mtu ambaye amewahi kushuka wadhifa wa juu nchini mwenye matusi Tena ya nguoni na lugha chafu kama magufuli? Ni lugha ipi chafu Lissu ashawahi kukutukana au kutukana? Vilaza na mazwazwa hudhani maneni makali yanayochoma kwao Ndio matusi.Unataka tupake mavi rangi ili yang'ae?CCM achani ujinga
 

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,528
2,000
Tatu, Tundu Lissu siyo mzalendo. Lissu ni muumini mkubwa wa siasa za unyang'au na utegemezi wa mabeberu badala ya siasa za ujamaa na kujitegemea. Katika hili, Lisu anakosa sifa za uzalendo na kukubali kuwa kibaraka wa mabeberu. Kielelezo kizuri ni pale alipojitokeza hadharani bila aibu na kuanza kuwatetea mabeberu Accacia katika mikataba mibovu ya kutuibia madini yetu.
Pole sana Ingizo jipya.
Porojo unazookota kwenye vijiwe vya lumumba ndio za kufanya utoe hoja vichekesho. Yawezekana ulikuwa bado kuzaliwa, Waliyopitisha sheria na mikataba vibovu kwa nderemo ndio wasaliti wakubwa nchi hii.

Hivi leo bila chembe ya aibu eti wanajaribu kuhalalisha kujiita wazalendo.
 

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,542
2,000
Ukweli mchungu TUNDU LISSU hana kabisa sifa za kuwa PRESIDENTIAL MATERIAL, TL yule anafaa kuwa chini ya mtu yeye abaki kuwa mtendaji tu.. ila kwakuwa hawa wafuasi wa hicho chama akili zao tunazijua vizuri tu watakejeli sana.

Matusi sana mbaya zaidi watadai kuwa mara CCM inamuogopa mara sijui CCM inahaha ukweli ni kwamba hakuna UCHAGUZI hasa ngazi ya urais mwepesi sana kama uchaguzi huu wa 2020, wanaopiga kelele wengi ni wafanyakazi na wenyewe hawafiki hata 1M.

watu wanatoka ibadani saa mbili wanakuta Rais kashatangazwa ni DR JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom