Recent content by Tambala

  1. T

    Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    WanaJF katika kuendeleza uongo wa misukule tulitambulishwa na mleta uzi kuwa hawa ni walinzi wa Dr Slaa Inashangaza kuona walinzi wamekaa meza moja wakipiga deal hii protocal ya wapi? ebu angalia waliokaa upande wa kushoto kuanzia mtu wa tatu mpaka wa nne utagundua ukweli
  2. T

    Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    Chadema haina uongozi ina kundi la wahuni wanaoganga njaa kupitia siasa,hawa mahawara wanahistoria ndefu ya kuishi maisha ya kuunga unga mjini
  3. T

    Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    Ndio wenye Tanzania na wenye uchungu hawa wazungu ili upate kitu toka kwao lazima wakutumie kama mpira wa kinga
  4. T

    Dr. Slaa Receives A State Reception In Alabama Capitol !

    Nyie tianeni ujinga tu lakini itabaki historia tu kuwa alishawahi kumsindikiza ikulu JK 2010.
  5. T

    Dr. Slaa Anaendelea Kutafuta Ufumbuzi Wa Tatizo La Kiuchumi. Makampuni yaahidi Maelfu ya Ajira!

    Anatafuta padri wa kuwaozesha sheria na taratibu za Tanzania zimembana
  6. T

    Dr. Slaa Anaendelea Kutafuta Ufumbuzi Wa Tatizo La Kiuchumi. Makampuni yaahidi Maelfu ya Ajira!

    Sasa kwa nini Slaa asingewachukua Sugu,Lema na Nassari wakajifunze hata kwa kuona maana ya elimu na wapi inakopatikana.
  7. T

    Dr. Slaa Anaendelea Kutafuta Ufumbuzi Wa Tatizo La Kiuchumi. Makampuni yaahidi Maelfu ya Ajira!

    Hana lolote huyu babu ni dalali tu wa wazungu na hawara yake ndio mchonga dili zote
  8. T

    Kwanini Dr Slaa akisafiri ofisi anamwachia Victor Kimesea, majukumu yake anamwachia Mnyika?

    Usitake kudanganya watu wewe hapa ni imani za kishirikina tu zinazopelekea taratibu kuvunjwa, kwani washauri,wasemaji,wakereketwa na wapambe wa babu wanahisi prezidaa akiachiwa tu ofisi anaweza kuweka tunguri toka Kigomaaaa!!!!
  9. T

    CHADEMA imedhamiria kuchukua nchi. Kamanda Golugwa ndani ya Mji wa Manchester

    Vipi Sir Alex Ferguson ameshachukua kadi?
  10. T

    Mbowe akatisha ziara yake nchini Denmark kutokana na kifo cha dada yake

    Utaona bavicha watakavyojipendekeza kwenye huo msiba Mungi,Ben Saanane,Mwita Manyara,Precise Pangolin,Arusha one watalia mpaka watakaukiwa na machozi
  11. T

    Mbowe akatisha ziara yake nchini Denmark kutokana na kifo cha dada yake

    Kwani Abdalla Bulembo ni mumewe au kaka yake?
  12. T

    Josephine Mshumbusi unainajisi CHADEMA. Tafadhali na tuchore mstari, tuseme yatosha sasa!

    "Safu ya uongozi Chadema ni nyembamba" Samuel Sitta
Back
Top Bottom