Niliwahi kudate na mke wa mtu tukiwa mikoa tofauti hadi akalainika.
Tulifahamiana kwenye group la WhatsApp na pia niliwahi kumsaidia kumuuguza mzazi wake alipokuwa amelazwa kwenye mkoa nilipokuwa. Kitendo kile ndio kilinifanya niwe nawasiliana naye mara kwa mara na hatimaye nikazoeana naye...
Kutoa jibu ambalo sio sahihi ni faida kwa wenye kutafiti/kuhoji. Ukizingatia pia ni mtu mzima/mkubwa haitakiwi kukubali bila kujiridhisha(kuchunguza/kudadisi).
Ukiwa na desturi ya kudadisi, kwa asilimia kubwa utakuwa unafanya maamuzi yaliyo sahihi.
Hata kama mimi sijamwambia ukweli ila uwanja...
Kumtafuta sio dhambi, hata wewe najua huwa kuna baadhi ya watu unawakumbuka hata kama mumepotezana kwa muda mrefu.
Kabla sijafahamiana naye, tayari nilikuwa na mtu wangu ambaye ndio nilimuoa.
Kuwa na mtu wangu haiwezi kunizuia kufahamiana na watu/jamii wapya/mpya kwenye pilika pilika za...
Wanasahau kuwa hata kama jukumu la utafutaji kwa ajili ya familia ni la mwanaume, ila support yao kwa mwanaume ni muhimu sana, hata kwa maombi tu. Hivyo wasiogope kisa mtu hajajitafuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.